Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Bani Israil 17:91

17:91
او تكون لك جنة من نخيل وعنب فتفجر الانهار خلالها تفجيرا ٩١
أَوْ تَكُونَ لَكَ جَنَّةٌۭ مِّن نَّخِيلٍۢ وَعِنَبٍۢ فَتُفَجِّرَ ٱلْأَنْهَـٰرَ خِلَـٰلَهَا تَفْجِيرًا ٩١
أَوۡ
تَكُونَ
لَكَ
جَنَّةٞ
مِّن
نَّخِيلٖ
وَعِنَبٖ
فَتُفَجِّرَ
ٱلۡأَنۡهَٰرَ
خِلَٰلَهَا
تَفۡجِيرًا
٩١
Au uwe na kitalu cha mitende na mizabibu, na utupitishie mito kati yake ikimiminika. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
«Au uwe na shamba lenye aina za mitende na mizabibu, na uifanye mito ni yenye kupita kati yake kwa wingi.